Waziri katika Ofisi ya Rais asiyekuwa na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya (kushoto) na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye wakiwa katika matukio tofauti. Kumekuwa na madai kwamba watu hawa wanafanana, hivyo blogu hii tukaona tuliweke jambo hili kwenu wasomaji kwa maoni yenu. Bofya comments hapo chini kisha acha maoni yako!

No comments:
Post a Comment