Monday, May 28, 2012

MSANII LULU AFIKISHWA MAHAKAMA KUU KUSIKILIZA KESI YAKE YA MAUAJI...

Msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) akiwa amezungukwa na walinzi kwenye Mahakama Kuu Dar es Salaam leo kusikiliza mashitaka dhidi yake ya tuhuma za kumuua mwigizaji maarufu marehemu Steven Kanumba. (Na Mpigapicha Maalumu).  

No comments: