Wednesday, May 2, 2012

MELI KONGWE ZAIDI DUNIANI IKO TANZANIA...

Hii ndio meli kongwe zaidi duniani ya mv Liemba ambayo mwakani itatimiza miaka 100 tangu kuundwa kwake nchini Ujerumani. Meli hii ambayo imekuwa ikipiga mzigo kwenye Ziwa Tanganyika tangu mwaka 1913 huku ikiwa imeshabeba tani 117,823.86 mpaka Desemba mwaka jana, inatarajiwa kufanyiwa matengenezo makubwa na Serikali ya Ujerumani kwa gharama ya Euro milioni 800 (sawa na Shilingi trilioni 1.7).

No comments: