Monday, May 7, 2012

KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Haina ubishi kwamba "Mtoto wa Nyoka Ni Nyoka". Mtoto huyu akikata kilaji ambacho inawezekana kabisa kimeachwa na mzazi wake. Utotoni spidi 120, ukubwani je?
Huyu naye anavuta stimu ya sigara kwa raha zake. Wazazi wake hata hawana habari...

No comments: