Tuesday, May 1, 2012

KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Bila wasiwasi, mzazi huyu kamtua mwanae barabarani huku yeye akiendelea na mambo yake...
Hapa napo hapajatulia...Mzazi huyu kamfungia mwanae ndani ya kibanda huku akichangia chakula na mbwa.

No comments: