Monday, May 7, 2012

JUSTIN BIEBER, 50 CENT NA LIL WAYNE WASHANGILIA USHINDI WA MAYWEATHER...

Floyd Mayweather akishangilia ulingoni baada ya kumchapa Miguel Cotto na kufanikiwa kuendeleza rekodi yake ya kutopoteza pambano hadi sasa. Kushoto ni Justin Bieber akinyanyua mikanda ya Mayweather.
Floyd Mayweather akiwa amekumbatia mikanda yake mbalimbali aliyotwaa mara baada ya kushinda pambano lake dhidi Miguel Cotto usiku wa kuamkia leo.
Wanamuziki Justin Bieber (kushoto), Lil' Wayne na 50 Cent (wa pili kulia) wakipozi kwa picha na mshikaji wao, Floyd Mayweather mara baada ya kumdunda Miguel Cotto.
Justin Bieber akiweka pozi katika picha ya pamoja na bondia Floyd Mayweather mara baada ya pambano lake dhidi ya Miguel Cotto usiku wa kuamkia leo.

No comments: