Chandra Bahadur Dangi mwenye miaka 72 kutoka Nepal ameshinda Tuzo za Guinness za "Mtu Mfupi Kuliko Wote Duniani". Andunje huyo amewasili mjini Sydney jana kwa ajili ya kuingia mikataba ya promosheni mbalimbali. Dangi ambaye anatokea kwenye kijiji kisichofikika kwa urahisi katika bonde kusini-magharibi mwa mji wa Nepal, ana urefu wa Sentimeta 54.5.
No comments:
Post a Comment