Mmasai mmoja kaalikwa kwenye harusi ya Waarabu. Wakati wakiwa ukumbini waalikwa wote pamoja na yule Mmasai wakapewa tende na haluwa. Baada ya kula, wakati wa kwenda kuwapongeza maharusi, Mmasai akatumia nafasi hiyo kumnong'oneza bwana harusi, "Aisee rafiki, hii ugali yenu tamu sana ila muchusi yake iko chungu mno!" Akimaanisha tende zilikuwa tamu ila haluwa balaa…

No comments:
Post a Comment