Monday, May 28, 2012

CHEKA TARATIBU...

Bibi kizee mmoja aliushangaza umati wa watu uliohudhuria kesi mahakamani kwa uamuzi wake. Baada ya vibaka kumvunjia nyumba na kumbaka, kaenda kushitaki polisi na kwa bahati vibaka wale wote wakakamatwa na kufikishwa mahakamani. Wakati kesi ikiendelea, Hakimu akampa nafasi bibi yule kusema chochote kabla ya hukumu. Hakimu: "Enhe! Unataka hawa jamaa tuwafanyaje?" Huku kila mmoja pale mahakamani akiwaza kivyake ndipo Bibi akajibu, "Mie sina mengi, nataka tu wanilipe mlango wangu!" Duh...

No comments: