Monday, May 28, 2012

BURUDANI WIKIENDI HII...



Kufuatia maombi yenu wasomaji wetu, tumewasikia na kuwaletea utamu zaidi: Katika pitapita yetu wikiendi hii kamera yetu ikaweza kukunasia kidogo burudani ya kufa mtu pale bendi ya FM Academia maarufu kama Wazee wa Ngwasuma walipofanya kufuru ndani ya Kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama, Dar es Salaam, usiku wa Jumamosi. Pata burudani na bila kusahau wiki ijayo utaona shoo ya  Wazee wa Kibega, si wengine bali ni Mashujaa Musica LIVE ON STAGE!  (Video ya ziro99blog).


No comments: