Binti wa mwimbaji Whitney Houston, Bobbi Kristina pamoja na ndugu zake kadhaa wamesaini mkataba wa kuendesha Shoo ya televisheni ya Lifetime kitakachojulikana kama "The Houston Family Chronicles".
Shoo hiyo itawalenga Pat Houston, wifi yake Whitney na meneja, binti wa Pat-Rayah, kaka wa Whitney-Gary, na mama wa Whitney-Cissy.
Msemaji wa Lifetime, Rob Sharenow amesema, "Katika mfululizo huu, vizazi lukuki vya familia ya Houston kwa ujasiri watasimulia maisha yao walivyoshikamana pamoja kuponya, kupenda na kukua."

No comments:
Post a Comment