Tuesday, April 17, 2012

USALAMA HAFIFU...

Kinamama wanaofanya kazi ya kufagia barabara wakiwa kazini Barabara ya Bagamoyo maeneo ya Victoria asubuhi hii. Pamoja na hayo, lakini wamekuwa wakitekeleza majukumu yap katika mazingira magumu kwa kukosa alama za kuwaongoza madereva ili kuwaepusha na ajali kama wanavyoonekana upande wa kushoto wamelazimika kuweka kiroba kama moja ya alama. (Picha na ziro99blog)

No comments: