Tuesday, April 17, 2012

FOLENI ASUBUHI MTINDO MMOJA DAR HATA KUTOKEA MJINI...

Magari yakiwa kwenye foleni ndefu Barabara ya Bagamoyo maeneo ya Sayansi Dar es Salaam kuelekea Mwenge kama yalivyokutwa leo asubuhi. Kinyume na ilivyozoeleka kwamba foleni nyakati za asubuhi huwa kwa wanaoelekea mjini, sasa imegeuka na kuwa  kinyume chake. (Picha na ziro99blog)

No comments: