Monday, April 23, 2012

OPRAH WINFREY KAFULIA AU MAPOZI...



Mwanadada Beyonce Knowles alipotumbuiza katika Shoo ya Oprah Winfrey.
Ana utajiri wenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 2.5 na anachukuliwa kama mmoja wa watu waliofanikiwa sana duniani.
Hatahivyo, Oprah Winfrey ameonekana kama mtu aliyetetereka kifedha wakati akikatiza mitaa ya Beverly Hills, jana mchana.
Nyota huyo wa runinga alikuwa njiani kwenda kwenye saluni moja ya urembo anayoipenda sana kupata huduma.
Bilionea huyo mwenye miaka 58 alionesha kila dalili uzee pale alipoonekana mchovu kidogo na uso usio na nuru kama anavyoonekana kwenye picha mbalimbali hapo juu.

No comments: