Monday, April 23, 2012

KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Haya kulikoni mzazi huyu kumwachia mtoto kazi ya kubadili gurudumu?
Kweli dunia ina mambo jamani...Na ya walimwengu waachie walimwengu! Tazama mtoto huyo avyolazwa na mzazi wake kwenye bodaboda...

No comments: