Hakika mwana wa nyoka ni nyoka! Fikiria mtoto huyu akifikisha miaka kumi kwa spidi hii atakuwaje...Hapaa anaramba pombe iliyoachwa na mzazi wake!
Tangazo mlangoni linasomeka "Ili kuingia ndani lazima uwe na umri kuanzia miaka 21!" Sasa imekuwaje mzazi wa mtoto huyu kumruhusu aingie humo?
No comments:
Post a Comment