Kwa raha zake, mzazi huyu akimwachia mwanaye arambe-rambe bastola bila kufikiria madhara yanayoweza kutokea...
Huyu naye kaamua kutoa urithi mapeeema kwa mwanae. Huwezi kuuza kitu bila kuonja ladha yake kwanza. Ndio anachoonekana mzazi huyu kufanya kwa mrithi wake huyo...
No comments:
Post a Comment