Monday, April 16, 2012

KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Walisema kuzaa si kazi bwana, kazi kulea mwana. Hapa mzazi alikuwa anafikiria nini kumwachia mtoto mashine hii jamani?
Kuna vipaji vya kurithishwa jamani sio hiki. Mzazi wa huyu mtoto hapa anapanda nini akitarajia kuvuna nini?

No comments: