KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...
Kwa raha zake! Hata kama ni ubize huu umevuka mipaka. Yani hata haoni kama mtoto anafanya jambo la hatari pembeni yake...
Huyu naye utundu ukamponza. Kamchezea mzazi wake kumbe hamnazo bwana, kamtundika kwenye mti!
No comments:
Post a Comment