Saturday, April 21, 2012

KERO YA FOLENI BARABARA YA MANDELA MBELE YA STESHENI YA TAZARA

Hapa ilikuwa mida ya mchana ambapo malori yalitawala barabara hiyo na kufanya foleni ndefu kuanzia taa za kuongozea magari Tazara hadi njiapanda ya kwenda Tandika. 

No comments: