Saturday, April 21, 2012

ENEO LA KOTA ZA UBUNGO N.H LINAVYOONEKANA SASA...

Sasa ni mahoteli kwa kwenda mbele. Hapa ni eneo la Ubungo N.H katikati ya Benki ya NBC Tawi la Ubungo na Stendi Kuu ya Mabasi ya Mikoani. Kushoto ni Hoteli ya Royal Kibadamo na Hoteli mpya ya MIC.
Hii ni Hoteli ya Sharon ambayo iko katika eneo la Ubungo N.H. mitaa ya nyuma ya Benki ya NBC tawi la Ubungo. (PIcha zote na ziro99blog)

No comments: