Sunday, April 1, 2012

HISTORIA, ISHARA NA ALAMA ZA FREEMASONS...

Tunangojea mchango na maoni yako kuhusu hiki ulichokiona na kusikia kuhusu Freemasons, dini iliyoleta utata na kuwagawa waumini mbalimbali. Wengine wakisema hili na wale wakisema lile. Je, wewe msimamo wako unasemaje ama unajua nini zaidi kuhusu Freemasons? Bofya baada ya maelezo haya chini sehemu iliyoandikwa "comments" kisha andika ujumbe wako. Unaweza pia kutuma ujumbe wako kwa baruapepe ziro99blog@gmail.com -Mhariri ziro99blog.

No comments: