Thursday, April 19, 2012

DK. MAGUFULI AUGUA GHAFLA NA KULAZWA HOSPITALI...

Naibu Spika, Job Ndugai, jana alitangaza bungeni kuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli, ameugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Dodoma. Spika alisema awali Magufuli alipelekwa hospitalini hapo akisumbuliwa na shinikizo la damu.
Aliongeza kwamba alipofikishwa hospitalini alipatiwa matibabu na kugundulika anasumbuliwa na kichomi upande wa kushoto ambapo hadi tunaenda mitamboni alikuwa bado amelazwa hospitalini.

1 comment:

Nelson said...

Hello! My first visit, will visit you again. Seriously, I thoroughly enjoyed your posts( really interesting blog). Congrats! Would be great if you could visit also mine... I wish you a wonderful day with very smiles and peace. Thanks for sharing!