Thursday, April 19, 2012

MBUNGE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI YA GARI...

Taarifa zilizotufikia zinasema Mbunge wa Temeke kupitia CCM, Abbas Mtemvu amenusurika kifo baada ya gari lake kugongwa na lori jana alfajiri kabla ya kupinduka katika kijiji cha Tabu Hoteli wilayani Gairo, Morogoro kwenye barabara kuu iendayo Dodoma.

No comments: