Mtoto mmoja akiwa na mama yake kwenye harusi ya anko wake akauliza, "Mama, kwanini bibi harusi kavaa gauni nyeupe?" Mama akamjibu, "Sababu ana furaha na hii ni siku yake ya furaha zaidi katika maisha yake."Mtoto akafikiria kwa muda kisha akauliza, "Sawa, sasa kwanini anko kavaa suti nyeusi?" Aah, mama kimyaa…!

No comments:
Post a Comment