Sunday, April 1, 2012

"BAO LA MWAKA" ALILOFUNGA KARIM BENZEMA JANA...

Angalia jinsi Karim Benzema alivyofunga kwa ufundi wa hali ya juu bao hili la kwanza kwa timu yake ya Real Madrid wakati ilipoishindilia Osasuna mabao 5-1 nyumbani kwao jana. Ni nadra sana kushuhudia mabao ya kifundi kama haya, kwani kwa kipindi kirefu kumbukumbu zinaweza kutua kwa Zinedine Zidane na majuzi Robin van Persie alipoitungua Liverpool kwenye Ligi ya England.

No comments: