Wafanyabiashara wa matikiti wakisubiri wateja asubuhi ya leo.
Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa wamepanga biashara zao barabarani kutokana na kukosa nafasi kwenye soko kuu. Hii ni changamoto kubwa kwa mamlaka husika.
Hawa wanakwenda wale wanarudi! Hayo ndio maisha yanayolizunguka soko la Kariakoo katika harakati za kujitafutia mahitaji ya kila siku. (Picha zote na ziro99blog).
No comments:
Post a Comment