Tuesday, March 27, 2012

JINSI YA 'KULIPUKA' NA KITU CHA PINKI NA VIONJO VYA GOLD...

Mpangilio huu umetulia kinoma kwa gauni la Pinki...
Kama utaona sio, basi piga kiatu cha Pinki bado utakuwa juu...
Ukiona magauni samtaimz yanakufanya uwe kimama-mama, tupia blauzi lakini yenye u-pinki kwa mbali na Trauza ya Pinki. Sipati picha, utapendezaje...!!

No comments: