Friday, March 16, 2012

JE, WAJUA?

Mwanamuziki maarufu wa Benin, Angelique Kidjo ametajwa na Jarida la Forbes kuwa  ni miongoni mwa mastaa 40 wenye mvuto na nguvu kubwa duniani. Mwanamuziki huyo ametamba na vibao kadhaa vilivyomwezesha kupata tuzo mbalimbali kubwa duniani.
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi amewataja Robin van Persie wa Arsenal, Wayne Rooney wa Manchester United na Sergio Aguerro wa Manchester City kuwa ni wachezaji bora kwake kwenye Ligi Kuu ya England.

No comments: