JANE MPONZI HATUNAE TENA...



Familia ya Bwana Gabriel Mponzi wa Oysterbay, Jijini Dar es Salaam wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mtoto wao Jane Mponzi "Mama Melanie" kilichotokea siku ya Jumapili Machi 4, 2012 katika Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Ibada ya kumuaga marehemu itafanyika Jumanne Machi 6, 2012 nyumbani kwa marehemu Oysterbay, Dar es Salaam kuanzia saa 6 mchana na marehemu atazikwa Ipamba-Tosamaganga, Iringa siku ya Jumatano Machi 7, 2012. 

Kwa maelezo zaidi kuhusu ratiba ya mazishi, wasiliana na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Dr. Ponziano Mponzi kupitia namba 0767 600 604.
Ndugu, jamaa na marafiki waliopo mbali, wanaweza  kutuma michango yao ya kufanikisha safari ya mwisho ya kwenda kumlaza mpendwa wetu Iringa kupitia: 
M-PESA- 0756 -999-900 TIGO PESA- 0713 -123- 617 AIRTEL MONEY- 0784- 615-566

Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi, Amina.

No comments: