CHEKA TARATIBU...

Tanzania ni miongoni mwa nchi chache sana duniani ambazo zimekuwa na utamaduni wa kipekee wa kutangaza bidhaa ambazo HAZIUZWI. Tofauti na ilivyozoeleka kibiashara, utamaduni huu mpya umeshika kasi kama inavyoonekana pichani.

No comments: