Wednesday, March 14, 2012

CHEKA TARATIBU...

 Padri katika kanisa moja alihubiri akisema, “Biblia inatuambia kwamba wasiotubu wakiendelea kutenda dhambi siku ya hukumu watalia na kusaga meno.” Muumini mmoja ambaye alikuwa kibogoyo akamnong’oneza mwenzake, “thithi tumebarikiwa thana thababu hii adhabu ya kuthaga meno kwetu haipo, athante thana yethu.” Duh, kweli Dunia yako Chaguo lako!

No comments: