Wabwia unga wawili a.k.a mateja wamekaa kwenye moja ya mitaa ya Kinondoni kwa Manyanya wakiendeleza mambo yao ya ubwiaji unga a.k.a dawa za kulevya. Baada ya unga kukolea kichwani, teja moja likaanza kumwongelesha mwenzake huku akinyooshea kidole jengo lililo jirani nao, "unajua bro, mwaka huu hauishi nitakuwa nimenunua hili ghorofa". Baada ya dakika kadhaa teja la pili likajibu, "we nani kakwambia naliuza?" Mh, kaaazi kwelikweli…

No comments:
Post a Comment