CHEKA TARATIBU...


 Baba mmoja asubuhi wakati akijiandaa kwenda kazini akamwita mwanae. Alipofika bila kuchelewa kachukua kiboko na kumwamuru alale chini. Akaanza kumtandika viboko sita chap chap. Alipomaliza mwanae huku akilia akamuuliza baba yake, “Baba, kwani nimekosa nini hadi kunichapa hivyo?” Yule baba akajibu, “Hujanikosea chochote mwanangu, ila najua nikiondoka tu kuna kitu lazima utaharibu. Ndio maana nimekuchapa kabisaa.” Dah, adhabu nyingine bwana…

No comments: