Saturday, February 18, 2012

SABABU ZAIDI ZA KUHAMA JANGWANI

Inarudiwa rudiwa kila wakati kwamba wakazi wanaoishi mabondeni wahame kuepuka mafuriko. Lakini kwa wakazi wanaoishi kando ya mto Msimbazi eneo la Jwangwani wana sababu zaidi ya kuhama. Nyaya hizi za umeme zilikiwa zimepita juu ya nyumba eneo hilo ni hatari zaidi pengine kuliko hayo mafuriko. Tusingoje kunyoosheana vidole, mamlaka husika zifanye kazi yake bila kuoneana haya. Siasa ikae kando. (Picha na ziro99blog)

No comments: