KIMYA KINGI HAKIKA KINA MSHINDO MKUU...
Baada ya muda mrefu, mchoraji wako Patrick Eusebio aka ANKO PATI amerejea kwa kishindo kukata kiu yako kwa kurejesha tena katuni yake maarufu ya ZIRO!
Hii ni baada ya maombi mengi kutoka kwa mashabiki wake walioko kila kona za dunia ambao wamekuwa wakilalamika kukosa burudani za vibonzo vya aina hiyo.
Sasa, wewe shabiki wa katuni hii unaombwa ukae mkao wa kula kwani siku chache zijazo utaweza kupata uhondo huu kwenye simu yako janja (Smartphone) kila siku. Unachotakiwa kuwanacho ni bando lako tu, kwani utaweza kupata vibonzo viwili kila siku kupitia YOUTUBE Channel.
Tunakaribisha makampuni mbalimbali kudhamini channel hiyo ambayo tutawataarifu SOON baada ya taratibu kukamilika.
Kwa UDHAMINI au MATANGAZO tafadhali wasiliana kwa +255 713 477477 au Baruapepe: ziroart@yahoo.com
No comments:
Post a Comment