Friday, March 27, 2015

YASEMAVYO MAGAZETI YA JUMAMOSI MACHI 28

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya Jumamosi Machi 28, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo kushoto. Kupata yaliyoandikwa kwenye magazeti usikose kuperuzi blogu hii kila siku.

Thursday, March 19, 2015

YASEMAVYO MAGAZETI YA IJUMAA

BASI LAPINDUKA HIFADHI YA MIKUMI NA KUUA

Watu saba ambao wote ni wanaume wamekufa papo hapo na wengine 17 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda mjini Ifakara, wilayani Kilombero mkoani Morogoro kupinduka ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mikumi katika  barabara kuu ya Morogoro – Iringa.

SERIKALI YAFUNGULIWA KESI 1,179 KWA MIAKA MINNE


Serikali imefunguliwa kesi 1,179 na wananchi , mashirika na taasisi mbalimbali, Bunge  lilielezwa. 
Kesi hizo ni kati ya kesi 1,192 zilizofunguliwa mahakamani kuanzia mwaka 2010 hadi 2014. Kati ya kesi hiyo Serikali imefungua jumla ya kesi 13 kama mshitaki. 

HUKUMU YA MBUNGE WA BAHI APRILI 29


Hukumu ya kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel inatarajia kutolewa  Aprili 29, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

UPELELEZI DHIDI YA KIONGOZI WA UAMSHO BADO KUKAMILIKA


Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi bado wanasota rumande kwa kwa kuwa upelelezi wa kesi bado haujakamilika.

MATONYA ATUPWA JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA


Mfanyakazi wa ndani, Joseph Matonya (26) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kupatikana na hatia ya kubaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Mwanagati mwenye umri wa miaka 14.

CARLO ANCELOTTI THE FAVOURITE TO TAKE OVER AT MANCHESTER CITY


The odds on Manuel Pellegrini leaving Manchester City by the start of next season have been cut according to bookmakers William Hill.

INVESTING IN WOMEN: WHAT DO AFRICAN FEMALE ENTREPRENEURS NEED?


Private equity financing is not easy to come by, even in a market as hot as Africa. The competition for funding is fierce, and the way the numbers play out is part of the bottom line. Businesses need to demonstrate not only success to date, but a strong potential for growth, expansion, and of course exit potential.

WENYE MABASI WACHARUKA KUSHUSHWA NAULI, WATISHIA KULIPISHA ASKARI


Wakati wadau wa usafiri nchini wakipendekeza kushuka kwa nauli za daladala na mabasi yaendayo mikoani, wamiliki wa mabasi wametishia kufuta utaratibu wa kutowatoza nauli askari na kuongeza kuwa, hata nauli pungufu za wanafunzi sasa zitakuwa historia.

WANAZUONI WA KIISLAMU WAWAJIBU MAASKOFU


Taasisi ya Mashehe na Wanazuoni wa Kiislamu, imewataka maaskofu nchini wawe wavumilivu, kwani Serikali ni ya watanzania wote.

MSONGAMANO WA MAHABUSU WATISHIA AMANI MAGEREZA DAR


Magereza ya jiji la Dar es Salaam  yana msongamano mkubwa wa mahabusu na wafungwa, ikilinganishwa na uwezo wake halisi, imeelezwa.

ZITTO KABWE KUAGA RASMI BUNGENI


Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) jana aliteta faragha na Spika wa Bunge, Anne Makinda kushauriana  naye kama ajiondoe kwenye ubunge baada ya chama chake kutangaza kumvua uanachama.

MABEHEWA MAPYA TRL KUANZA KAZI APRILI MOSI

Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) imesema mabehewa 15 kati ya 22 ya abiria yaliyonunuliwa na serikali kutoka Korea Kusini yataanza kutoa huduma kwenda Kigoma kupitia stesheni 17 kuanzia Aprili mosi mwaka huu.

Tuesday, March 17, 2015

8 EFFECTIVE WAYS TO COPE WITH YOUR CHILD’S BAD TEMPER


If you’re not emotionally strong, you may not be ready to deal with your child’s tricks, caprices and hysterics. Children are angels, but sometimes they lose control of their emotions. It often happens that parents cannot stand children’s fits of hysteria and become mad as hornets. You shouldn’t repeat this mistake, because evil does not cure evil.

7 EXERCISES THAT WILL TRANSFORM YOUR BODY


Looking for some effective ways to transform your body? There are a few great exercises that will help you to reach your fitness goal. These exercises are easy but effective in strengthening your body along with burning unwanted calories. However, sticking to these exercises is not enough to transform your body, you should also eat healthy and get enough sleep regularly. Don’t waste your precious time doing other workouts, here are seven exercises that will help you transform your body in no time.

9 THINGS YOU SHOULD NEVER SAY TO MEN


Words can ruin any relationship in a matter of minutes. You might have been together for years, but once you say one of the things women should never say to men, you may end up with heartbreak. Women are tend to be highly sensitive, but men, albeit they are brave and patient, can get hurt too. Some men are like children and it’s hard to build a serious relationship with them. But if you love such a man, you should avoid being clingy and needy, because they are clingy and needy. Moreover, they don’t like when you say something that they don’t want to hear about. Even if you will run away from a needy man, it’s important that you avoid saying one of these things to your partner.

Monday, March 16, 2015

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMANNE

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumanne Machi 17, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo kushoto. Kupata yaliyoandikwa kwenye magazeti usikose kuperuzi blogu hii kila siku.

12 SUB-SAHARAN AFRICAN COUNTRIES WITH MOST WOMEN IN PARLIAMENT


Women are notoriously under-represented in government, occupying just 21.9 percent of all elected parliamentary seats worldwide. In the U.S., that number is even lower, at just 18 percent. The following countries in sub-Saharan Africa have managed to buck the trend.

AMCHINJA MPWA WAKE, NAYE AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO MBEYA


Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi wa Mtaa za Nsalaga jijini Mbeya, asubuhi wameshuhudia matukio ya mauaji ya watu wawili ndugu, moja likiwa ni mtu aliyemchinja na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili mtoto wa dada yake, kabla naye kuuawa kwa kupigwa mawe na kisha mwili wake kuchomwa moto.

MAJANGA TENA UDSM, MOTO WATEKETEZA BWENI LA WANAWAKE


Moto mkubwa uliozuka na kuteketeza sehemu ya bweni la wanawake katika Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zilizopo Mabibo jijini Dar es Salaam, uliibua taharuki kwa wanachuo na wananchi waishio jirani na eneo hilo.

BENKI YA WALIMU KUANZA KUUZA HISA MACHI 23


Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinakusudia kuanzisha benki yake kwa kishindo, hivyo kuwataka walimu na wananchi kujitokeza kununua hisa za benki ya walimu.

UJENZI MAABARA YA EBOLA KUKAMILIKA MWEZI HUU


Tanzania inazidi kupiga hatua katika sekta ya afya, na sasa inatarajia kuachana na usafirishaji wa sampuli za magonjwa ya uambukizi mkali yenye virusi visababishavyo damu kutoka mwilini, ikiwemo ebola na dengue.

MWINGEREZA ANAYEDAIWA KUUA MKE AREJESHWA KWAO


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru raia kutoka nchini Marekani, Sammy Almahri aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumuua mke wake, ametakiwa kupelekwa nchini Uingereza na kushitakiwa katika sehemu ambayo alifanya mauaji hayo.

HOW A NIGERIAN WOMAN BUILT A SUCCESSFUL FASHION HOUSE ONLINE


When Honey Ogundeyi founded Fashpa her mind was set out to create Nigeria’s leading online fashion retailer–and she did just that.

Sunday, March 15, 2015

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATATU

Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumatatu Machi 16, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo kushoto. Kupata yaliyoandikwa kwenye magazeti usikose kuperuzi blogu hii kila siku.