Sunday, July 13, 2014

Wachezaji wa Uholanzi, Dirk Kuyt (kushoto) na Arjen Robben akifurahia jambo baada ya kuvishwa medali kufuatia ushindi wa mabao 3-1 walioupata dhidi ya Brazil na hivyo kushika nafasi ya tatu katika Fainali za Kombe la Dunia mwaka huu, kwenye Uwanja wa Estadio Nacional mjini Brasilia usiku wa kuamkia leo.

No comments: