Tuesday, July 1, 2014

Wachezaji wa Algeria akifarijiana mara baada ya kumaliza kwa mechi yao ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora dhidi Ujerumani iliyochezwa jana. Ujerumani ilishinda mabao 2-1 na kutinga Robo Fainali.

No comments: