Friday, July 11, 2014

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akizungumza na wageni waalikwa wakati wa futari iliyoandaliwa BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo kwenye Hoteli ya Serena, Dar es Salaam jana.

No comments: