zironews
Saturday, July 5, 2014
Mwonekano wa sarafu ya Shilingi Mia Tano ambayo Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuiingiza kwenye mzunguko hivi karibuni. Noti ya thamani hiyo maarufu kama 'jero' itaendelea kutumika huku utaratibu ukiendelea wa kuiondoa kwenye mzunguko.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment