Tuesday, July 1, 2014

Mshambuliaji wa Ufaransa, Paul Pogba akiifungia timu yake bao kwanza dhidi ya Nigeria katika mechi ya Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora jana. Ufaransa ilishinda mabao 2-0 na kutinga Robo Fainali.

No comments: