Wednesday, July 2, 2014

Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa kushirikiana na Taasisi ya WEFA ya Ujerumani wakitoa sadaka ya unga, mchele, sukari na mafuta ya kupikia kwa watu mbalimbali kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika kijiji cha Kilimani Tazari, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

No comments: