Tuesday, July 15, 2014

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa wakati moto uliozuka ghafla ulipoteketeza maduka kadhaa na mali zilizokuwamo ndani yake eneo la Mwananyamala 'A', jijini Dar es Salaam mapema leo. Chanzo cha moto huo kimeelezwa kuwa ni hitilafu ya umeme.

No comments: