| Benchi la ufundi la Brazil likiongozwa na Meneja Luis Fellipe Scolari wakimbembeleza mmoja wa wachezaji wa timu hiyo aliyekuwa akibubujikwa machozi baada ya kipigo cha mabao 7-1 walichokipata kutoka kwa Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia jana. |
No comments:
Post a Comment