Sunday, April 13, 2014

Wakazi wa Dar es Salaam wakilazimika kutembea kufuatia mabasi kushindwa kufika katikati ya jiji kufuatia barabara nyingi na madaraja kusombwa na maji.

No comments: