Friday, April 11, 2014

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Joseph Mbilinyi 'Sugu' (kushoto) akisalimiana na mjumbe mwenzake Leticia Nyerere (kulia) wakati mjumbe Shamsi Vuai Nahodha (katikati) akishuhudia kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana.

No comments: