| Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Godbles Lema akimtaka Mwenyekiti wa Kamati namba mbili, Shamsi Vuai Nahodha (hayupo pichani) kusoma vipengele vyote vya taarifa ya kamati hiyo kwa ufasaha wakati Mwenyekiti huyo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya kamati yake Bungeni mjini Dodoma jana. |
No comments:
Post a Comment