Friday, April 11, 2014

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Prof. Ibrahim Lipumba (kulia) akisisitiza jambo kwa mjumbe mwenzake Augustino Lyatonga Mrema kabla ya kuanza kwa kikao cha Bunge hilo mjini Dodoma jana.

No comments: