Utafiti unaonesha kuwa zaidi ya asilimia 90 ya watu waishio Dar es Salaam na baadhi ya majiji makubwa Tanzania wanalala kwenye stoo!
Haiwezekani chumba cha kulala kuna NDOO ZA MAJI, SUFURIA, JIKO LA KUPIKIA, MKAA, SOFA, RUNINGA, KABATI LA NGUO, REDIO KUBWA, JOKOFU, KOPO LA KUOGEA, KITANDA, UFAGIO, DODOKI, JIWE LA KUGUGULIA MIGUU, BANIO n.k. Unasemaje hapo, sio stoo hiyo?

No comments:
Post a Comment